Karibu katika ukurasa wa Maji, Justin Michael. mgombea wa kiti cha urais katika serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Ardhi (ARUSO).
Katika ukurasa huu utaweza kuona vipaumbele vya mgombea katika mwaka wa masomo 2024/25 na pia kuuliza swali katika nyanja ambayo hujapata ufafanuzi vizuri.